Kituo Cha Fursa
CMW Bigwa kwa kushirikiana na Jumuiya ya Vyuo na Taasisi za Ufundi Kanada (CICan) kinatoa mafunzo ya fani za mda mfupi ya nayolenga kuongeza ushiriki wa Wanawake na Wasichana katika shughuli za kiuchumi kupitia Mradi wa Uwezeshaji kupitia Ujuzi (ESP).