Namna ya Kuomba Kujiunga

Viungo vya Haraka

Kuomba kozi mbali mbali katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa Waombaji wote wanapaswa kuchukua fomu ya maombi inayopatikana kupitia Fomu ya Maombi au fika chuoni katika Ofisi ya Mratibu wa Taaluma.

Waombaji wote wa ngazi ya I & II au III watatakiwa kulipia fomu hiyo kiasi ambacho hakitafidiwa cha 10,000/= kupitia 22101100068 - National Microfinance Bank (NMB).

Maulizo na Anuani

Mkuu wa Chuo,

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (CW Bigwa),

P.O. Box 339, Morogoro, Tanzania.

Mobile: +255 (0)719 576 309 / +255 (0)713 423 475

Barua Pepe: usajili@bigwafdc.ac.tz

Nukushi: www.bigwafdc.ac.tz

  • MUHIMU
    1. Majina ya waombaji wote walio pata nafasi yatawekwa katika websiti hii.
    2. Epuka kulipa fedha taslimu au mkononi,malipo yote yanafanyika kupitia akaunti ya Benki tu.
  • TAARIFA ZA BENKI
    1. Jina la akaunt: CHUO CHA MAENDELEO MWANANCHI BIGWA

    2. Namba ya Akaunti: 22101100068

    3. Bank: National Microfinance Bank (NMB)